cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
lakini sasa sindio mwanzo wa maarifaMmhh uyo mtoto bado hajapata uelewa kama ulivyo sema na ndio maana akasema mbona mnapigana sio mna jigij
ic ningemtoa anahitaji 1.2 m ya mwakaKama unayo mkopeshe atakurudishia
Marafiki kusaidiana
Mwambie atoe ya nusu mwakaic ningemtoa anahitaji 1.2 m ya mwaka
yani kuna watu hupenda kuanzisha story sana na wakikosa ndo huja na hizi hapa.Hadithi njoo..
Uongo njoo..
Utamu koleaaaaaa....
Uzazi wa mpango ni wa muhimu sana.Kuna jamaa angu bana anapata shida sana,
Amepanga chumba kimoja mitaa ya temeke yeye mkewe na mtoto,sasa mtoto wake ni wa kiume na amekua ana miaka 3 sasa na amesha pata uelewa na issue za kukubwa ,
Juzi amewauliza wazazi wake eti baba mbona mnapigana mama usiku,na mama yake alikuwepo hapo hapo,Mshaji akakosa jibu kabisa
Mshaji amechanganyikiwa afanyeje na hana pesa ya kulipa vyumba viwili kwa haraka
Kwani huyo mtoto amekuwa ghafla?!Kuna jamaa angu bana anapata shida sana,
Amepanga chumba kimoja mitaa ya temeke yeye mkewe na mtoto,sasa mtoto wake ni wa kiume na amekua ana miaka 3 sasa na amesha pata uelewa na issue za kukubwa ,
Juzi amewauliza wazazi wake eti baba mbona mnapigana mama usiku,na mama yake alikuwepo hapo hapo,Mshaji akakosa jibu kabisa
Mshaji amechanganyikiwa afanyeje na hana pesa ya kulipa vyumba viwili kwa haraka
mchana jamaa anakua kaziniKwani lazima wafanye mtoto akiwepo? Miaka mitatu ni mkubwa kabisa kuanza chekechea... Akiwa shule wafanye mambo yao. Au mtoto akienda kucheza... Kua na chumba kimoja si kisingizio cha kumuharibu mtoto.
Kama unayo mkopeshe atakurudishia
Marafiki kusaidiana