KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 677
Leo nikiwaa home madogo wanaangalia Television nikapitisha macho.
Nikakutana na wanahabari wa Kipindi cha Chumba cha Umbea (ICU) kinachorushwa na Channel ya Magic Bongo QWISA, JUMA LEKOLE NA M.JESSIE.
Nilikuwa muda mwingi nasikia wanamhoji mtu ambae katika masikio yangu nilihisi ni mtu ambaye aliwahi kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya (Teja au Mteja)
Laulah!! nakujaa Kustuka anayehojiwaa ni Icon wa zamani wa Bongo Fleva, Msanii mwenye Sauti iliyojaa ubunifu. JOSLINE msanii wa Kundi la "Wakali Kwanza" Roho imeniumaa sana. Kumbe ukimya wa Msanii huyu ni Uteja mihadarati.
Swali langu likawa kwanini wasanii wetu wa zamani; marehem Ngwea, Daz Baba, Ferooz, Chid Benz, Rayc, Lord Eyez, TID, Dogo Mfaume, 20 Percent, Q Chief, Dulayo, Wasanii wengi wa makundi ya Walume Ndago, Kwanza Unit, TMK WANAUME, watu Poli a.k.a Washamba, Daz Nundaz, LWP, list ni ndefu mno kuimaliza wanakubwa na kitu gani mpaka wanajikuta katika maisha ya Utata kiasi hiki?
Mbona walikuwa wanapiga Show na wanajaza Nyomi na Viingilio tulikuwa tunalipa nini kimewakwamisha.
Swali lililonifikirisha sana ni kwamba awa wote awakuingiaa katika ulevi hii siku moja mbona kama kulikuwa na "ROOM" wengine kujifunza?
Naomba kuwasilisha.