Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 348
- 803
“Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu wao kuingilia Maneno yao ni kama ya simba Ukiyasikiliza lazima utaaminia” Mandojo & Domokaya ft Jide
“Hakuonekana na Binti hakuwahi kuasi dini mfuasi wa maadili lakini alikufa kwa ngoma…aliwarudisha waliopotea akawapa tiba mbadala na adui wa zinaa, lakini alikufa kwa ngoma” Mwana FA ft Jide
Ni jukumu letu (Wananchi wote wewe na mimi)
Na maoni yetu(Yawezayo kupunguza umasikini)
Kwa taifa letu (Hivyo yatupasa kua makini ni jinsi gani tutaweza kuongeza kipato nchini) Professor J ft Mwana FA
“Nyakati za Mashaka hizi, na kukosa imani ni rahisi” Nikki Mbishi ft Grace Matata
“Nafasi nilizozichezea yawezekana zisirudi, Lakini naweza zitengeneza nikiongeza juhudi” Young Killer ft Fid Q
“Mimi ni msanii kioo cha jamii, mimi naona mbali, kwa darubini kali” Afande Sele
“Hawajui tulipotoka, watajuaje tunapokwenda, ya kwao yanawashinda yetu hawatoweza” Mwana FA ft Jide
“Machoni kama watu,mioyoni hawana utu, imani imetoweka, mabaya yanaongezeka” AY ft Jide
“Mapenzi ni matamu nahofia kuumizwa moyo, nashindwa kujaribu roho inaniuma sana.” Fid q ft Christian Bella
BONUS
“Asiyefunzwa na Mamaye, mamaye mleteni kwangu namfunza yeye na Mamaye” Mbeya Boy Chuma
“Usitukane mamba kabla hujavuka mto, mimi namtukana halafu navukia upande mwingine, kivuko sio kimoja tu!” Anonymous underground
“Mwenye kipara ana akili so akili sio nywele b’cause unaweza kuwa na nywele na ukashindwa kufikiri” Anonymous underground