Salam hapa ndani.
Kwa muda mrefu sasa, nimejaribu kutafuta mawasiliano ya sister mwenye age ya miaka kuanzia 20-35 nimegonga mwamba.
Masister n watu wazuri sana.
Nina shida na sister jamani ,naombeni msaada wa mawasiliano.
Nipo mkoani Kilimanjaro.
Asante sana.