China yaongeza ushuru kwa bidhaa za Marekani kutoka 84% kufikia 125%

Xi Jinping

JF-Expert Member
Jun 14, 2023
4,570
14,002
Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40%

Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125%

Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu wa Spain yupo China kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kati ya mataifa hayo

April 14-18 Xi atakuwa na state visit kwa mataifa ya Vietnam, Malyasia na Cambodia moja ya ajenda lazima iwe tariffs war

Mwezi July Xi atahost mkutano na viongozi kutoka mataifa ya Ulaya na kuna uwezekano EU kupunguza tariffs kwenye Chinese EVs

Mwache Trump aendelee kujitenga

China will never kiss Trump's ass. The game is on!
 
President Xi will equally meet, negotiate and cooperate with the leaders of every country to achieve a win-win goal

President Trump, on the other hand, just demands that the leaders of every country kiss his ass

If you were a leader, who would you rather meet?
 
Back
Top Bottom