China vs Japan

FB_IMG_1725642029682.jpg
 
Per Capita ya Japan sio mchezo .....Japan wapo vizuri Sana kiuchumi.

T14 Armata
Japan wana maisha expensive vibaya mno hasa mji mkuu Tokyo.
Mtu kumiliki nyumba pale Tokyo ni accomplishment kubwa sana na inaweza mchukua mkopo wa marejesho ya miaka zaidi ya 20 wakati kazi yake ni nzuri tu. Housing yao iko expensive na vile wana ardhi ndogo ila Tokyo ni jiji kubwa kwa eneo.

Kule sio sehemu ya kutafuta maisha. Utajiri upo miundombinu unafaidi ila wewe mwenyewe hela kuzipata mbinde. Uzuri hakuna fisadi, mwizi, mla rushwa na huduma za kijamii ziko vizuri.

China wanapambana na idadi kubwa ya watu, Japan wanapambana na ongezeko dogo la watu. Kuzaa Japan ni gharama zaidi.
 
Idadi ya watu 1.4 bilion na Economy ya 18.5 trilion USA (GDP) kwa China

Na Idadi ya watu 123 Milioni na Economy ya 4trilion (GDP) ya Japan

Utaanzaje kuona China yuko juu ilihali idadi ya watu wake ni mara 12 zaidi ya watu wa Japan?

Kwangu mimi, china bado cha mtoto kwa Japan

Angalia na per capital zao

ECONOMY: China 18.5 trillion USD (GDP)
Japan 4 trillion USD (GDP)

Population: China🇨🇳 1.4 billion
Japan🇯🇵 123 million

Per capita: China: 13000 USD
Japan: 33000 USD

Je wewe ungemchaguwa Nani
 
Back
Top Bottom