HATA KAMA NI MIDOLI BADO NI FAIDA KUBWA IWAPO ITAUZWA NJE KWANI DUNIANI SASA KUNA WATOTO WENGI KULIKO IDADI YETU SISI.Viwanda vyenyewe nasikia vya kutengenza midoli. Sasa mimi midoli nifanyie nini?
Kwani we huchezeagi "midoli"?Viwanda vyenyewe nasikia vya kutengenza midoli. Sasa mimi midoli nifanyie nini?
Kwahiyo vinaletwa viwanda vitengeneze bidhaa ziuzwe nje? Si watengenezee huko huko nje.HATA KAMA NI MIDOLI BADO NI FAIDA KUBWA IWAPO ITAUZWA NJE KWANI DUNIANI SASA KUNA WATOTO WENGI KULIKO IDADI YETU SISI.
Halafu upo kijiweni unaalamika ajira hakuna, poor mind.Kwahiyo vinaletwa viwanda vitengeneze bidhaa ziuzwe nje? Si watengenezee huko huko nje.
Ulichosikia sio kweli. Viwanda vimeshaanza kuja na hadi sasa kuna viwanda vifuatavyo:Viwanda vyenyewe nasikia vya kutengenza midoli. Sasa mimi midoli nifanyie nini?
Hizo ajira zote zitachukuliwa na wachinaUlichosikia sio kweli. Viwanda vimeshaanza kuja na hadi sasa kuna viwanda vifuatavyo:
Kiwanda kikubwa cha kuzalisha Cement kinajengwa Tanga kitatoa ajira za moja kwa moja 4000 na indirect employement kwa watu 12,000; Kiwanda kikubwa cha kutengeneza ceramics kinajengwa Mkuranga-kitatoa ajira kwa watanzania 800; kiwanda cha kuchakata Pamba kinajengwa Shinyanga kitaajiri watu 1000 katika awamu ya kwanza na awamu ya pili ajira zitaongezeka hadi kufikia 2000. Hivi ni viwanda vya mwanzo tu, na vingine 200 vya aina hii viko njiani vinakuja
Kifupi tuu ni kwamba watajenga viwanda huku si kwamba watavihamisha na meli kutoka china!We unayeelewa masuala ya uchumi mbona umeshindwa kutoa shule japo ndogo tu?
Hivi wewe una shida gani? Viwanda havijaja wewe umetanguliza lawama...sasa hutaki kabisa vije?Hata kazi za kufagia ztafanywa na wachina.Wamechagua nchi ambazo masilahi ya wachina ni rahisi kulindwa kuliko ya wazawa. Wachina wanajua udhaifu wetu katika kusimamia na kulinda haki za wazawa wa nchi hii kama ilivyo kwenye migodi n.k.Hao jamaa si wajinga na wala msidhani wanatupenda kwa kuichagua Tanzania. Hawajachagua Tanzania bali wamechagua fursa bora ya kibiashara kwa maslahi yao.
Kwa mawazo yangu,tunakwenda kuzalisha mgogoro na manung'uniko ya wazawa dhidi ya wageni na yaliyotokea Afrika ya Kusini kwa wenyeji kufukuza wageni kwa madai ya wageni kuchukua ajira zao yanaweza pia kuja kutokea Tanzania.
Badala ya kumake simplistic comments, ulichotakiwa ni kuuliza details za viwanda hivyo vitakamilika kujengwa lini? skills zipi zinatakiwa kwenye viwanda hivyo? wataanza kuajili lini? ukitaka ndugu/rafiki yako aombe kazi kwenye nafasi hizo awasiliane na nani? Hayo ndio mambo ya msingi mzalendo wa kweli ulitakiwa kujiuliza. Kuwa na negative mentality hakuwezi kukusaidia kuji transform from Poverty to ProsperityHizo ajira zote zitachukuliwa na wachina