Chimbo zuri la nguo Mbeya....

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Mar 3, 2023
18,770
59,612
Habari zenu ndugu zangu....

Anayefahamu mahali pazuri pa kupata nguo nzuri za kiume Mbeya anijulishe kwenye comments.

Simaanishi sehemu yenye bei rahisi, namaanisha sehemu unayohisi umewahi kupata nguo nzuri bila kuhangaika sana, yaweza kuwa ghali au bei che.

Tafadhali wakazi wa Mbeya nisaidieni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom