Chimbo la vyombo vya nyumbani Bei ya kutupa

rodgers123

Senior Member
Jul 12, 2015
161
128
Wana Jamii,

Tunauza vyomba vya nyumbani Bei za jumla na rejareja. Kwa yeyote anayetaka kuanzisha biashara Kwa Bei nafuu awasiliane nasi namba 0719-756640.
Bei zetu;
50pcs : 175,000/-
100pcs: 350,000/-
500pc : 2m
1000pcs : 3.5m
Wateja wa mikoani tunatuma sema watajilipia usafiri. Kwa dar es salaam tuna deliver.
Pia wateja wa PC 6, 12 au 24 nao tunawauzia.

Karibuni.
Mzigo upo maeneo ya Tegeta.
 
Attachments

  • IMG-20230630-WA0022.jpg
    IMG-20230630-WA0022.jpg
    44.6 KB · Views: 71
  • IMG-20230630-WA0021.jpg
    IMG-20230630-WA0021.jpg
    37.2 KB · Views: 77
  • VID-20230321-WA0008.mp4
    2.5 MB
Nakujua wewe ni nani so usikonde. Acha negativity kwenye biashara za watu. Umeshasema mchina anauza kwa Kilo na unajua chombo kimoja kina uzito gani.? Na unajua kama yeye ndio producer ..! Wengine wako happy kupata set kama hii vyombo Mia na sio utopolo wa chombo na kikombe kidogo kilo 1.
Sa mbona kama umepanic jombaa we umepoat biashara basi tulia ukiona comment haikufurahishi si lazima uijibu 😀😀
 
Namjua mkuu na yeye anauza vyombo. Na alitaka kununua mzigo wote kwa nusu bei wakati yeye anauza hivyo hivyo apate pesa. So anakuja na majina tofauti kuweka negative comments. hahaah!!
 
Nakujua wewe ni nani so usikonde. Acha negativity kwenye biashara za watu. Umeshasema mchina anauza kwa Kilo na unajua chombo kimoja kina uzito gani.? Na unajua kama yeye ndio producer ..! Wengine wako happy kupata set kama hii vyombo Mia na sio utopolo wa chombo na kikombe kidogo kilo 1.
DUh umekasirika nini sasa ,wewe umeshatangaza biashara yako...
Ila mchina yupo anauza kilo 4000 na watu wanapenda hivyo
 
Namjua mkuu na yeye anauza vyombo. Na alitaka kununua mzigo wote kwa nusu bei wakati yeye anauza hivyo hivyo apate pesa. So anakuja na majina tofauti kuweka negative comments. hahaah!!
😀😀😀😀😀😀kwamba na mi nauza vyombo😀😀

Siuzi vyombo mwaya na hata kununua tu siwezi sina pa kuviweka 😅
 
Nakujua wewe ni nani so usikonde. Acha negativity kwenye biashara za watu. Umeshasema mchina anauza kwa Kilo na unajua chombo kimoja kina uzito gani.? Na unajua kama yeye ndio producer ..! Wengine wako happy kupata set kama hii vyombo Mia na sio utopolo wa chombo na kikombe kidogo kilo 1.
Hivi vyote bei gan
 
Back
Top Bottom