Chimba kisima kwa bei rahisi

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
512
604
Habari,
Jipatie kisima chako cha kuchimbwa kwa mkono(hand_dug well) kwa matumizi ya nyumbani na mashambani(kilimo cha umwagiliaji) kwa bei ya 400,000-1mil. tu kulingana na urefu.
Tupo Dar es Salaam na Pwani.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa:0655185973 au nipm.
KARIBUNI.
 

Hauna tabia ya kukimbia mara unapoona hakuna maji?
 
Kusema gharama ya kuchimba ni sh 400k-1000k haitoshi. Weka mchanganuo wako vizuri; mfano gharama ya kuchimba mita 1, kujengea na au kufunika. Labda pengine hiyo gharama unayotangaza ni ya kutoboa maji halafu unalipwa chako unasepa. Mwenye kisima atajengea na kufunika kwa gharama nyingine kwa wakati mwingine!
 
Mkuu,hiyo ni gharama ya kazi nzima hadi unakabidhiwa kisima chako tayari kwa matumizi.
Kisima hakiwi kisima pasipo kujengewa vizuri na kufunikwa vinginevyo hilo ni shimo la kawaida tu.
Nimejaribu kutoa bei zetu kwa ujumla hadi unapata maji ya kutosha na si ilimradi mita zitimie,
kwani lengo ni kukupatia maji na si shimo lenye mita za kutosha.
Ila kama unahitaji hivyo tutakucharge 55,000/- per mita.
Karibu.
 

Mkuu hivi ni visima vile vinavyotumia pump au ni visima vya kienyeji,na kama ni vya pump hizo gharama za kununua na kuweka pump ni za nani?
 
Mkuu hivi ni visima vile vinavyotumia pump au ni visima vya kienyeji,na kama ni vya pump hizo gharama za kununua na kuweka pump ni za nani?
Hivi ni visima vya lingi,vinajengewa vizuri na kufunikwa,
ni vya kawaida ila si vya kienyeji kama mashimo tuliyoyazoea kuyaona na vinafungwa pump ukihitaji.
Gharama za pump ni za mteja husika sisi kazi yetu ni kuchimba na kutengeneza na kukufungia pump yako kama ipo ila kwa gharama ya ziada(kiasi kidogo)
 

Similar Discussions