Wanasema kumsaidia haiwezekani ety jamaa mwenyewe hataki me naona jamaa hajitambui na ndio maana yuko hvyo........ Wampeleke kwenye vituo vya madawa ya kulevya walioasilika wakishindwa waniletee nimpe sindano ya sumu aache kutusumbua tuanze kusikiliza vitu vingine hata vyombo vya abali vipumzike