Cheti cha kuhitimu (leaving certificate) kimeungua upande!

Jickson Nkulikwa

Senior Member
Nov 13, 2016
104
52
Habari wana Jf,

Cheti cha leaving kimeungua upande mmoja japo majina yapo na kila kitu ila kimeungua upande wote.

Naomba ushauri nifanyeje?
 
Cheti cha leaving hua hakina maana kama una cheti cha kidato cha nne/ sita.
Ila kama una hiko tu rudi shuleni kwenu unaweza ukatengenezewa kipya.
 
Habari wana Jf,

Cheti cha leaving kimeungua upande mmoja japo majina yapo na kila kitu ila kimeungua upande wote.

Naomba ushauri nifanyeje?
Leaving? Hakikusaidii popote, au uliishia form two?

Nakushauri usome hata QT ile ya miaka miwili form one mpaka form four ili upate cha form four hata chenye division five kama ipo.
 
Leaving? Hakikusaidii popote, au uliishia form two?

Nakushauri usome hata QT ile ya miaka miwili form one mpaka form four ili upate cha form four hata chenye division five kama ipo.
Kinamsaidia nini mbele ya academic certificate?

Leaving kazi yake kubwa ni kuonesha tu wewe ni mhitimu tu, hivyo basi kuungua kwa leaving hakutampa shida mhusika
 
msaada mkubwa wa leaving certificate ni kuonesha kweli ulimaza form four/six
hakuna msaada zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…