Dx and Rx
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,323
- 3,137
Karibu.
Nguo inauzwa 10000/= huna pesa ukaenda kukopa kwa dada 5000/= na kaka 5000/= jumla 10000/=
Ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9700/= ukabakiwa na 300/=
Halafu ukaamua kupunguza deni, kaka yako ukampa 100/= na dada ukampa 100/= ukabaki na 100/=
Jumla kaka akawa anakudai 4900/= na dada 4900/= ukijumlisha unapata 9800/= ukiongeza na 100/= yako uliyobaki nayo unapata 9900/=
Je?hiyo 100/= iko wapi?