Cheka unenepe...!!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
30,276
69,524
Mlevi mmoja alienda kwenye duka la dawa kununua condom mambo yakawa hivi...

Mlevi:nesi nipatie kondom za mia tano..
Nesi:hee we kaka hata huoni haya si utumie tafsida..
Mlevi akaona isiwe tabu si tafsida tu akafungua zipu akatoa dyudyu akaliweka juu ya meza akamwambia nesi nipatie nguo ya huyu jamaa...!!!!
 
hapo sasa ndo kaalibu kabisa!!!!
 
Hohohohohoohohoh..!! Du acheni pombeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…