Chatgpt inavyoweza kua Hatari kwa Usalama wako na Taifa..

lost files

Member
Apr 17, 2025
66
165
Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,.

Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje kua bingwa wa dunia na kutajirika kupitia Pool table,.Ila akazeeka hajafanikisha hayo,so mzee akaja na plan,

Akatafuta Vijana wakali wa pool table Awa "Coach" ili waje kua mabingwa wa dunia,lakini mzee alikua na agenda ya Siri,lengo lake lilikua akifundisha vijana anawaibia mbinu zao za kisasa kuboresha kiwango chake,.like mzee ndio Walikua wanamfundisha sio anawafundisha and He won..

Chatgpt pia inafanya kazi hivyo,kila tunavyotumia ndio tuna ifundisha kufanya kazi,kila unachofanya ni valuable kwa AI,kibaya zaidi wanaofanya research kwa kutumia Chatgpt, Chatgpt it's either ikupe majibu unayotafuta,au ina validate kila unachosema,.na TAFITI YAKO INAIBWA.. unafikiri baada ya Muda Mr Hartman na wenzake watakua na data ngapi za ulimwengu?? Sensitive informations??

Facial Recognition..juzi Kati Kuna feature ya Chatgpt ya kubadili Sura yako katika style ya Ghibil studio,Ina hatari kiasi gani?kwa hiyari yako unafeed AI sura yako,wataitumia kwa matumizi gani?? Password utabadili,je Sura yako?? Kama data ya Sura yako ipo Chatgpt ni rahisi mtu anakujua your facial features akaomba AI to generate picture ambayo inaonekana Kama wewe 100%...itatumika vipi??I don't know..

Wizi wa data matajiri ndio kitu wanapenda,mwaka huu Elon musk aliandika X kua wataalamu wa Coding dunia nzima wamtumie Codes zao Bora kabisa,bingwa anaajiliwa na X au Tesla kua engineer hata Kama huna elimu kabisa..watu wakatuma,.just imagine watume watu Laki 5,nzuri itakua moja tu au mbili?? nyingine wanazitupa??au watazifanyia kazi??wamiliki watapata Nini?? NOTHING..

Ruge wakati yupo clouds media alikua anawaambia wanachuo TANZANIA nzima waandike mawazo Bora ya biashara,mwenye wazo zuri anapewa mtaji.. mawazo mangapi kaiba na kuboresha kwa style hii??ndio maana hakua anaishiwa mipango,tulikua tunampa wenyewe

Modewji foundation nao Walikua na utaratibu huu..

All in All kua makini na data zako mtandaoni,huwezi kujua zinatumika vipi.. kwenye comment nitaeleza data za huduma ya simu LIPA HAPA zinatumika vipi..
 
Umewaza vyema ..hata hivyo kwa ulimwengu wa sasa unakoelekea kwa wabobevu wa teknolojia..sioni Tena kwa sisi Dunia ya tatu kama Kuna cha kuficha...tuko uchi mnoo..angalau wenzetu kidogo Dunia ya kwanza wanajua kupunguza risks
 
Ushafikiria Robwar?Vita Kati ya binadamu na AI ?ni story tu au inaweza kuja kutokea??maana movies za 30yrs ago zimeelezea suala Hilo wakati hakukua hata na technology kubwa Kama hivi
 
Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,.

Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje kua bingwa wa dunia na kutajirika kupitia Pool table,.Ila akazeeka hajafanikisha hayo,so mzee akaja na plan,

Akatafuta Vijana wakali wa pool table Awa "Coach" ili waje kua mabingwa wa dunia,lakini mzee alikua na agenda ya Siri,lengo lake lilikua akifundisha vijana anawaibia mbinu zao za kisasa kuboresha kiwango chake,.like mzee ndio Walikua wanamfundisha sio anawafundisha and He won..

Chatgpt pia inafanya kazi hivyo,kila tunavyotumia ndio tuna ifundisha kufanya kazi,kila unachofanya ni valuable kwa AI,kibaya zaidi wanaofanya research kwa kutumia Chatgpt, Chatgpt it's either ikupe majibu unayotafuta,au ina validate kila unachosema,.na TAFITI YAKO INAIBWA.. unafikiri baada ya Muda Mr Hartman na wenzake watakua na data ngapi za ulimwengu?? Sensitive informations??

Facial Recognition..juzi Kati Kuna feature ya Chatgpt ya kubadili Sura yako katika style ya Ghibil studio,Ina hatari kiasi gani?kwa hiyari yako unafeed AI sura yako,wataitumia kwa matumizi gani?? Password utabadili,je Sura yako?? Kama data ya Sura yako ipo Chatgpt ni rahisi mtu anakujua your facial features akaomba AI to generate picture ambayo inaonekana Kama wewe 100%...itatumika vipi??I don't know..

Wizi wa data matajiri ndio kitu wanapenda,mwaka huu Elon musk aliandika X kua wataalamu wa Coding dunia nzima wamtumie Codes zao Bora kabisa,bingwa anaajiliwa na X au Tesla kua engineer hata Kama huna elimu kabisa..watu wakatuma,.just imagine watume watu Laki 5,nzuri itakua moja tu au mbili?? nyingine wanazitupa??au watazifanyia kazi??wamiliki watapata Nini?? NOTHING..

Ruge wakati yupo clouds media alikua anawaambia wanachuo TANZANIA nzima waandike mawazo Bora ya biashara,mwenye wazo zuri anapewa mtaji.. mawazo mangapi kaiba na kuboresha kwa style hii??ndio maana hakua anaishiwa mipango,tulikua tunampa wenyewe

Modewji foundation nao Walikua na utaratibu huu..

All in All kua makini na data zako mtandaoni,huwezi kujua zinatumika vipi.. kwenye comment nitaeleza data za huduma ya simu LIPA HAPA zinatumika vipi..
Hiyo ni fact na iko wazi kama ya mbuzi.
 
You haven't seen nothing yet!

I think we have reached the B-1 speed (the point of no return!)

20250422_182951.png

20250422_183727.png
 
You haven't seen nothing yet!

I think we have reached the B-1 speed (the point of no return!)

View attachment 3312411
Mimi nawaonea huruma watoto wanaotaka kusomea Sheria miaka hii,.marekani now watu wengi hawatafuti wanasheria kuomba ushauri,wanatumia IBM WATSON after ten years kibatala Hana kazi
You haven't seen nothing yet!

I think we have reached the B-1 speed (the point of no return!)

View attachment 3312411

View attachment 3312414
 
Back
Top Bottom