Chatanda awapa pole wahanga wa mafuriko wilayani Kilombero - Morogoro

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,092
728
CHATANDA AWAPA POLE WAHANGA WA MAFURIKO WILAYANI KILOMBERO - MOROGORO

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro na Kuwapa Pole kwa Mafuriko ya Mvua iliyotokea katika Maeneo mbalimbali na Kuathiri Makazi, Mashamba na Miundombinu ya Barabara wilayani humo Aprili 23, 2024.

Aidha, Chatanda alitumia hadhara hiyo kuwapongeza wananchi hao Kwa utulivu walionao katika kipindi hiki kigumu na kuwasihi waendelee hivyo hivyo kwani Serikali yao ipo makini inaendelea kufanya taratibu za kuwasaidia na kuweka mambo sawa

Vile vile amekemea baadhi ya Viongozi wanaotumia maafa hayo kupiga siasa badala ya kuwasaidia wananchi.

"Niwaombe ndugu zangu muwapuuze wote wanaokuja na kuongea maneno yasiyofaa badala ya kuleta msaada na kufanya jitihada za utatuzi wa changamoto zilizotokana na Mafuriko haya hivyo nawaomba muwapuuze"

#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee
 

Attachments

  • IMG-20240424-WA0046.jpg
    IMG-20240424-WA0046.jpg
    150.3 KB · Views: 3
  • IMG-20240424-WA0057.jpg
    IMG-20240424-WA0057.jpg
    137.1 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0056.jpg
    IMG-20240424-WA0056.jpg
    182.2 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0053.jpg
    IMG-20240424-WA0053.jpg
    127.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0054.jpg
    IMG-20240424-WA0054.jpg
    132.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0055.jpg
    IMG-20240424-WA0055.jpg
    159.6 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0052.jpg
    IMG-20240424-WA0052.jpg
    138.3 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0049.jpg
    IMG-20240424-WA0049.jpg
    130.8 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0048.jpg
    IMG-20240424-WA0048.jpg
    126.4 KB · Views: 3
  • IMG-20240424-WA0051.jpg
    IMG-20240424-WA0051.jpg
    111.9 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0045.jpg
    IMG-20240424-WA0045.jpg
    128.9 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0047.jpg
    IMG-20240424-WA0047.jpg
    124.9 KB · Views: 3
  • IMG-20240424-WA0044.jpg
    IMG-20240424-WA0044.jpg
    165.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0043.jpg
    IMG-20240424-WA0043.jpg
    114.6 KB · Views: 2
  • IMG-20240424-WA0041.jpg
    IMG-20240424-WA0041.jpg
    157.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom