mbozimbozi kumwitu
Member
- Mar 8, 2025
- 62
- 60
What additional number must be included in the following list to make the median of six numbers equal to 5.5.the give five numbers are 2,5,2,2,8.
Ndugu yangu mathematics language ni simple sanaHuenda lugha yako ndiyo haipo sawa. Haieleweki na binadamu wala Chat GPT AI.
Sasa wewe mwehu mbona hujapost chat Gtp ilichojibu bali umepost swali tu?. Tuliza akilia jombaaNdugu yangu mathematics language ni simple sana
Mmmh sio kwel nimeedit tyrHuenda lugha yako ndiyo haipo sawa. Haieleweki na binadamu wala Chat GPT AI.
Fanya wew ndugu km unaweza km huwez kalaleSasa wewe mwehu mbona hujapost chat Gtp ilichojibu bali umepost swali tu?. Tuliza akilia jombaa
Wew auUmelewa
Garbage in Garbage out..What additional number must be included in the following list to make the median of six numbers equal to 5.5.the give five numbers are 2,5,2,2,8.
Kaandika "must be included" si "to included"Hapo kwenye "..TO INCLUDED...!!" pako sawa kweli? Isijekuwa lirobot umelichanganya hapo. "to included" mbona kama kutamka hainogi vile?
Weka jibu, TuhakikiWhat additional number must be included in the following list to make the median of six numbers equal to 5.5.the give five numbers are 2,5,2,2,8.
Ni maneno ya Kiingereza ila haiko sahihi namna neno lilivyoundwa.Hapo kwenye "..TO INCLUDED...!!" pako sawa kweli? Isijekuwa lirobot umelichanganya hapo. "to included" mbona kama kutamka hainogi vile?
Tayari amehariri edit swali lake.Amekosea kuandika give badala ya given tu.
Kwingine kote kaeleweka vizuri.
Ana namba tano kazitaja.
Anauliza namba gani ya sita inatakiwa kuongezwa iki medium namba iwe 5 5.
"The median is the middle number in a set of data when the data is arranged in order from least to greatest. If the number of data points is odd, the median is the middle value. If the number of data points is even, the median is the average of the two middle values."
Khan Academy
www.khanacademy.org
hata swali kakosea kwa hizo namba median haiwezi kuwa 5.5 hata uongeze namba gani?Mbona unyooki weye??,ueleweki mkuu,tulia na uandike vizuri,hiyo ni faida kwako na wengine pia.