Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,539
Kwavile ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa pombe
Afya ya akili je?
Ndo alikuwa anamvutisha na bangi
Ndiye alimtuma akafanye fujo kanisani
Ndiye aliwaagiza walinzi wampige.....
KATAA NDOAshetani iliyoratibiwa na mwanamke
Siku yake imefikaa tu, tuache kujificha kwenye chaka la wahuniHabari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamuwa kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.
Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.
Tuishi nao kwa akili.
Itatafutwa sababu tu ilimradi lawama zimwangukie mwanamke!! Ukute hata chanzo cha huo ugomvi (kama kweli ulikuwepo) ni huyo huyo mwanaume.Kwavile ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa pombe
Afya ya akili je?
Ndo alikuwa anamvutisha na bangi
Ndiye alimtuma akafanye fujo kanisani
Ndiye aliwaagiza walinzi wampige.....
Hapo hasara ni ya nani sasa..tuliaswa tuishi nao kwa akili.. Rip MandojoHabari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamuwa kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.
Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.
Tuishi nao kwa akili.
Lengo lake ni awahi kutoa lawama kwa wanawake.Kama hamnaga habri kamili mkae nazi tu sijui uwa mnapost vitu gani yaani habari haieleweki..
2000?Ndio nani huyo mtu?
NAKAZIAKATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA IMAGHARIMU MAISHA YA MSANII WETU PENDWA MANDOJONAKAZIA
Kuna wengine hatujui hayo je, unaweza kufafanua zaidi ?Kwavile ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa pombe
Afya ya akili je?
Ndo alikuwa anamvutisha na bangi
Ndiye alimtuma akafanye fujo kanisani
Ndiye aliwaagiza walinzi wampige.....
Hawa mawakala wa shetani waweseke vipi?vyovyote itakavyokuwa, aliyesababisha au kuchochea kifo cha huyu bro lazima ataweweseka sana hasa kama atakuwa ni mtu wa mitandao na msikiliza radio
Ni watu wachache wanaoweza kuishi na mtu mwenye tatizo la akili,Kuna mmoja wa rafiki zake ,nimeona kwenye clip alisema kwamba alizuiliwa kunywa pombe kwasababu zinamuathiri na alikuwa na file mirembe.(Hapo nikawa sijalewa maana yake).
Nduguye Domo Kaya.Ndio nani huyo mtu?