Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,368
- 75,981
Hawa Wachina wamevurugwa.
Changan Auto wamekuja na Nevo E07 ambayo ni shapeshifter kama kwenye movie, ikimaanisha inaweza kua SUV na ukiamua kwa button moja tu inageuka inakua Pickup truck.
Hii chuma inakuja na options mbili, either full electric vehicle (EV) au range extender electric vehicle (REEV).
Model ya EV inakuja na mota moja au mbili, na zina range ya kilometa 550 hadi 1,000 kutegemea model utakayo nunua, na zina high voltage DC fast charge, ambapo unaweza kugain kilometa 360 kwa dakika 15 tu.
Kwa upande wa REEV utachagua kati ya motor moja au mota mbili, na model yoyote utakayochagua ina engine ya 1.5T.
Kwa ndani, wamejitahidi kuifanya iwe simple na plain. Mfano, kwa dereva kuna 15 inch instrumental cluster, na pia kuna argumented reality heads up display (AR-HUD) yenye inch 29, hakuna screen ya katikati.
Bei ya hii shape-shifting SUV Changan Nevo E07 itakua kati ya Mil 90 za Kitanzania kwa REEV na Mil 120 kwa EV.