Kati ya asilimia 5 na 10 ya watu ambao wamekaa muda mrefu bila kuajiriwa huondoa habari kuhusu shahada za chuo kikuu na habari za ujuzi wao wanapotuma maombi ya kazi, kwa sababu habari hizo zinawafanya waonekane wanastahili mshahara mkubwa kuliko kazi wanayotafuta.
MAPENDEKEZO: Ikiwa wewe pia unakabili changamoto kama hiyo, unashauriwa kuiga mfano huu.