A
Anonymous
Guest
Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa mwezi. Mradi wa Maji wa Sahwa una zaidi ya miaka 4 sasa hakuna kinachoendelea.
Mradi wa maji wa Butimba wanasema umekamilika lkn hauna impact, tukiwapigia simu wenye maji yao wanasema kuna uhaba wa udhalishaji Maji.
Sasa kiukweli ni kati ya vitu vinavyotutesa sana sisi wakazi wa Buhongwa. Imefikia hatua ndio ya Maji Buhongwa inauzwa 500/=
Pia soma

- KERO - Wiki ya pili hakuna maji kata ya Buhongwa wilayani Nyamagana
- KERO - Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza
- MWAUWASA: Mwanza hakuna changamoto ya uhaba wa huduma ya maji, mteja mwenye changamoto awasiliane nasi
- Mwanza: Maji yaanza kutoka Buhongwa. Ni baada ya Waziri Aweso kuweka Kambi na Mafundi Site