Naomba msaada ndugu zangu nimekuwa nikihitaji Kufanya marekebisho ya namba ya NIDA tangu mwaka Jana mwezi Novemba, katika ofisi Moja Bariadi requirements zote nilikamilisha mpaka malipo ya replacement lakini mpaka sasa nimekuwa nikifika ofisini kwao wanadai mtandao unasumbua mara usajili ujafanyiwa starter mpaka sasa ni kama mwaka sijapata suluhu ya jambo hili.