"Champion Sound" ya Davido ndo Amapiano iliyosikilizwa zaidi

Wild Flower

JF-Expert Member
Jul 20, 2023
334
691
rBEeJGGk2k-Aeg5-AAIL6BQQENc923.jpg

Kulingana na mtandao wa Spotify imetangaza wimbo wa “Champion Sound” wa mwanamuziki kutoka Nigeria David Adeleke (Davido) aliomshirikisha rapa kutokea South Africa Lethabo Sebetso (Focalistic) ndio wimbo ulioongoza kwa kusikilizwa zaidi katika mtandao huo.

Spotify ilitoa tangazo hilo mnamo tarehe 16 Juni 2024, ikiwa ni siku ya Vijana ya Afrika Kusini, ambayo inaadhimisha vijana wa taifa hilo na harakati zao za uhuru na haki.

Wimbo wa “Champion Sound” ulitolewa mwaka 2021.

===========For English Audience Only=============
Davido's 'Champion Sound' Is Most-Streamed Amapiano Song in Last Decade - Spotify

Champion Sound" by Davido featuring Focalistic was released in 2021.

Spotify, a global online streaming platform, has announced that Davido's "Champion Sound" featuring Focalistic is the most streamed Amapiano song of the past decade.

This announcement was made on Sunday, South Africa's Youth Day, which celebrates the nation's youth and their quest for freedom and justice.

Although Amapiano is peculiar to South African culture, it has evolved into a dynamic sound used by several artistes in Nigeria.

SOURCE: AllAfrica
 
Kuna mtu nilimwambia majuzi kua ukija kwenye mambo ya muziki nchi nyingi walishatoka kwenye mainstream ya YouTube........


Watu wapo busy ni Spotify, apple music, tidal, amazon music, Pandora,Deezer and the likes, na zinalipa kuliko YouTube


Huku kwetu ngoja tuendelee kukomaa na YouTube kwanza, ila tukubali wenzetu walishatoka huko, Kuna mtu alileta Uzi kua mond ni mkubwa kuliko jay z nikajua tu atakua anakomaa na statistics za youtube
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom