Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,943
19,130
Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League.

Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania.

Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi cha ubora wake

Screenshot_20230314-225753.png
 
Ata Chama mwenyewe anajua kura amepigiwa na mbumbumbu fc, hakuna mashabiki wa klabu kubwa Africa wakahangaika na vituzo vidogo vidogo vya wiki mitandaoni. Ila Mbumbumbu fc kwakua ilo ndio kombe lao msimu huu ilibidi walipambanie.

Hongera kiungo mwenye spidi ya konokono apa Tanzania Pana kufaa sana sio uko kweye soka la Kasi na maamuzi ya haraka.
 
Kama Vipera waliowakamua mbili pale taifa ni wadogo, basi uto mtakuwa wadogo zaidi yao🫣🫣
Vipers iliyocheza na yanga siyo kama hii iliyokuja kucheza na simba, wachezaji kama bobosi na manzoki hawakuwepo kwenye mechi ya simba waliuzwa yakabaki matakataka tu na kama wangekuwepo wala msingetoboa.
 
Ata Chama mwenyewe anajua kura amepigiwa na mbumbumbu fc, hakuna mashabiki wa klabu kubwa Africa wakahangaika na vituzo vidogo vidogo vya wiki mitandaoni. Ila Mbumbumbu fc kwakua ilo ndio kombe lao msimu huu ilibidi walipambanie.
Hongera kiungo mwenye spidi ya konokono apa Tanzania Pana kufaa sana sio uko kweye soka la Kasi na maamuzi ya haraka.
KWA KUWA NI MTANZANIA WENYR AKILI HAWATAKUBISHIA.WATANZANIA TUMEWAJUA, HAMPENDANI.
 
Aisee, unamfananisha na mchezaji bora kuwahi kutokea kweli! Au messi ni wakawaida!! Ni heri ungemfananisha na akina gaucho au Aguero na sio profesa Messi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom