Ndio shida ya kiongozi kujipendekeza na kujenga urafiki na wasanii,mwisho wa siku utaingia kwenye makundi yao ya umbea na bifu. Wasanii wengi hawakujua huyu bwana ni mnafiki na nyoka wakajenga nae urafiki, sasa anawadhalilisha. Sijui watamuimba tena au wataposti nae picha kule instagram?