Huyo ni kibaraka wa serikali kwa alichokisema hana hadhi ya kuwa mwenyekiti wa chama waendesha bodaboda, kwa kitendo cha kuyapinga hayo maandamano tayari nimeshamtoa akili! Hivi hajui jinsi gani usumbufu anaopata bodaboda kutoka kwa hao askari ambao wana umaarufu wa kampuni Fulani ya simu?