CHALLANGE NJOO UTAJE MAJINA MATATU AU MANNE YA KUZALIWA YA MCHEZAJI WA ULAYA UNAE MUHUSUDU NAANZA

sergio 5

JF-Expert Member
May 22, 2017
9,493
10,788
1. JUDE VICTOR WILLIAM BELLINGHAM

2. LAMINE NASRAOUI YAMAL EBANA

3. PHILP WALTER FODEN
 
Steven George Gerrard "Captain Fantastic"
1000005371.jpg
 
Mtoa mada umemaanisha Majina ya wachezaji wenye uraia wa nchi za ulaya, au wachezaji waliochezea timu za ulaya, kama ni hiyo ya pili basi naenda na Lionel Andres Messi Cuccitini 😊😊
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom