Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 20,673
- 25,238
Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii haimainishi wake za watu wa Mbagala ni walevi na wapesi kwenye ngono! Pamoja na kutokuwa na vyeo kama chako ni busara kuwaheshimu.