Chalamila: Michezo ya Mafuriko Dar ilikuwa Mradi wa watu Wachache

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,137
1,958
Akiongea Mkoani Dar Es Salaam, Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila amesema "Kwa Miezi michache iliyopita nilisema Dar es Salaam hakuna mafuriko, nilikuwa namaanisha huu Mchezo wa kuitikia mafuriko ilikuwa ni miradi ya watu wachache, mkisema Mafuriko eeh mafuriko, zinachukuliwa mahali fedha kweli yanakuja mablanketi, Mashuka, eti umeisaidia Dar"

Ameongeza, "sasa Mimi sitaki Mashuka, sitaki mablanketi nataka Barabara, Mablanketi pelekeni Rufiji. Hapa tunahitaji Mabarabara, Madaraja, tunahitaji taa za barabarani, tunahitaji Viwanja vipimwe, tunahitaji hati, tunahitaji Maji, hatuhitaji Usanii mdogo mdogo. Kwahiyo huo nimekataza kabisa, labda itokee kweli imetokea tukio la namna hiyo”
 
Back
Top Bottom