Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,467
- 3,637
Yeye 😁Umesema akiongea unamwona nani?
Leo kimefanyiwa serviceMkuu, hicho chuma cha Mjeremani. ^Nitakufyatua!^
Chalamila which tena?Sawa chalamila tumekusikia.
🥴🥴Yeye 😁
Kipindi cha kumjenga..Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24.
Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi hiki. Sio yule Chalamila mropokaji na mbwatukaji. Amekua kiasi.
Namsikia akiongea kwa data na takwimu. Kila anachosema anakiongea kwa takwimu. Sio umeme, sio usafiri, sio biashara. Wakati anaongea ikanijia picha ya Magufuli.
Akiendelea hivi atafika mbali. Imani yangu sio nguvu za "energy"
View attachment 3235823
Umekifatilia?Ushuzi tu, kipindi kimeandaliwa ili kumpa Chalamila political millage
Na ukiwa mkweli tz unachukiwa sanaShida ya Chalamila ni mkweli sana
Usimlinganishe hata kwa unywele na MagufuliNamsikia akiongea kwa data na takwimu. Kila anachosema anakiongea kwa takwimu. Sio umeme, sio usafiri, sio biashara. Wakati anaongea ikanijia picha ya Magufuli.
Chato boyUmesema akiongea unamwona nani?
Huwezi mumwambia kijana eti akiuza uduvi hatoboi. Angoje kuolewa tu. Hamna ukweli hapo. Ni uropokaji na kukosa stahaNa ukiwa mkweli tz unachukiwa sana