Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,466
- 3,637
Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24.
Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi hiki. Sio yule Chalamila mropokaji na mbwatukaji. Amekua kiasi.
Namsikia akiongea kwa data na takwimu. Kila anachosema anakiongea kwa takwimu. Sio umeme, sio usafiri, sio biashara. Wakati anaongea ikanijia picha ya Magufuli.
Akiendelea hivi atafika mbali. Imani yangu sio nguvu za "energy"