johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,105
- 164,495
Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche (Mara) na Gratian Matovu (Kagera)
Kituo kitakachofuata ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka 😄
Kituo kitakachofuata ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka 😄