ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 10,288
- 23,366
Huwa nawaonea huruma kuwapigania Watanzania wapumbavu hii ni sadaka kubwa wanajitoa chadema
Nina uhakika mtoto wa Lissu haki chini
Mke wa Lema hakosi matibabi ya kujifungua
Heche hakosi maji ya kunywa
Wananchi wana matatizo makubwa wanaowapigania wanawaona kama wajinga
Shule hakuna madawati
Miji na vijijini hakuna maji
Hospital hazina madawa
Vijana hawana ajira
Mishahara duni ya watumishi
Umeme shida
Tozo nyingi
Miundo mbinu mibovu ya barabara, reli na madaraja
ATCL imekufa
Bandari imeuzwa
Masai hawana makazi Ngorongoro
Dar mwendo kasi imekufa
Ziwa victoria halina meli
Deni la Taifa limefika trillion 97.35
Wananchi wakifikwa na magumu na wakakosa Lissu wa kuwapigania wataamka na upumbavu wao waingie madarakani kuiwajibisha serikali