CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,315
5,054
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja.

Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa.

Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
 
Hiyo NCCR yako iliyowekeza kwenye wasomi iko wapi leo? Unapoanzisha thread, jihoji kwanza; achana na hii tabia yako ya kukupuruka kila leo.
 
CCM iwekeze kwny kupata mawaziri wataalamu,maana leo makamu wa rais amesema mawaziri hua wanalogana./kutumia uchawi.
Na wengi wao ni PhD holders, Masters Na degree ya kwanza. Mwenye elimu ndogo mule ni Nape akiwa na master's ya voda faster ya Mzumbe campus ya DSM...🤣🤣
 
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja.

Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa.

Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
Ujue CDM inafikia hatua siwasomi!
Mtatumia mbinu ipi kujua ni wasomi ama si wasomi??
 
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja.

Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa.

Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
Sept 13, 2020....🤔
Leo hii unawajua wahuni na Bila shati unakuja JF na upupu wako kichwani....🤔

Kwa hili naomba msamahaa...
 
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja.

Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa.

Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji
iiiiiiih en'hee ......
Naiona ban hii hapa....🤔 in Magu voice...😭
 
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja.

Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa.

Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
Unaweza kuwa na hoja lakini namna ya kuiwasilisha kumeharibu maudhui nzima,
kwanini nasema hivyo?
1. Jiulize swali hili,je ni kweli wabunge na viongozi walioisaliti CDM na kujiunga ccm kwa ajili ya maslahi binafsi walikuwa si wasomi?
2. Je ni kweli watu wote wasio na elimu ya juu tulionao mitaani na makazini,wanatenda bila busara?
3. Yupi bora kati ya msomi msaliti na asiyesoma ila ana moyo wa kizalendo na ana uwezo wa kufanyia kazi kwa uaminifu maelekezo anayopewa?
Muda si rafiki nina mengi ya kuhoji ila niishie hapa.

Nimalizie kwa nukuu ya mwalimu Nyerere juu ya askari alisema '' Afadhari kuwa na taifa ambalo,lisilo na silaha za kisasa lakini,lenye moyo wa kishujaa kuliko kuwa na taifa lenye silaha za kisasa lakini vijana wake ni waoga''
Ningeishauri CDM kusajili vijana wenye moyo wa kishujaa wanaoelewa lengo la chama na uelekeo wake
kuliko wasaka tonge kwa mwavuli wa usomi.
HERI YA MWAKA MPYA 2022
 
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja.

Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa.

Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
Hoja yako imekaa vizuri.. ila kunakitu umekosea kuhusianinisha hapo.kwa sasa chadema inatakiwa kuachana kabisa na siasa za kiarakati, badala yake iwekeze kwenye watu wenye uelewa mpana wa nini, wanatakiwa kufanya ili kushika dola... kwa maana watafutwe vijana, wenye weledi wa kila nyanja hasa wale waliosoma political Science...
Nasiyo mtu kasoma education, then hawe mshauri kwenye ishu ku-formulates new philosophy ....
 
CCM tuwekeze katika kukataa ufisadi.Kuwa na Rais fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye serikali yake tena kupitia TV ya Taifa ni cancer itakayolitafuna Taifa hili kwa miaka mingi sana.
 
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja.

Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa.

Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
Chadema wanamuandaa mdude nyagali kuwa Waziri Mkuu
 
Back
Top Bottom