Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 740
- 2,551
Hiki ni kipindi muhimu sana katika chama chochote cha upinzani hasa tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa 2024.
Lazima chama kionekane kipo active katika kipindi hiki muhimu kwa kwa kuhakikisha taarifa zake za mabadiliko ya kisiasa yapo muda wote kwa wananchi.
Ndani ya tovuti kunakuwa na mawasiliano ya CHADEMA makao makuu ili kwamba kama kuna habari ya muhimu kutoka kwa taasisi fulani au mwanachama fulani, taarifa hiyo inafika makao makuu kwa haraka sana.
CHADEMA hawana redio wala Tv kwa ajili ya habari na hamasa kw wanachama wake na wanachama wapya hilo nalo ni kosa la kiufundi.
Kwa mfano kama sasa nilikuwa na mbinu muhimu za kutuma CHADEMA makao makuu ili uchaguzi wa 2025 iwe rahisi kuwashinda CCM na hivyo CHADEMA kuingia ikulu kwa kishindo.
Lakini imekuwa ngumu kuwasiliana na wao.