Mwenyekiti wa
CHADEMA Singida Mjini, Shahibu Mohamed amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi Singida Mjini ndio waliowawekea mapingamizi wagombea wa Chadema na si wagombea wa CCM
Kuna mgombea wa Chadema amewekewa pingamizi kwasababu CCM wanadai huyo mgombea wa Chadema hajapeleka barua ya kuonyesha kuwa ameshahama CCM na kuhamia Chadema.