johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,005
- 168,420
Hata sasa ACT Wazalendo ndio wanaweza kuleta mabadiliko kupitia Zanzibar na tayari Chadema wameshaanza kuipunguza Nguvu kwa kuwahadaa wasishiriki Mdahalo wa Odemba.
Hata wakati wa Bunge la Katiba Mpya lile vuguvugu la Upinzani na kukubalika kwa Prof Lipumba, Mchungaji Mtikila na Dr Slaa kulitishia kuleta mabadiliko kupitia uchaguzi mkuu wa 2025 ndipo Mbowe na Lowasa wakawanunua Maalim Seif na Duni Haji na yule Mbatia Ili kuwavunja Nguvu Lipumba na Dr Slaa.
Mchungaji Mtikila na Makaidi hawakutoboa kabisa kufikia Siku ya uchaguzi.
Mchungaji Msigwa amechanganyikiwa lakini kuhusu hujuma za Chadema kwa Vyama vya Upinzani na Viongozi wake ameongea ukweli.
Addo Shaibu: Kwa sababu Mnyika amesema hashiriki huu Mdahalo na mimi sitashiriki.
Shaibu ametisha sana 😂😂