johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,099
- 164,470
Kwanza Movement ya kutetea Bandari haikuwa ya Chadema bali Mwabukusi, Mdude na yule Madeleka
Chadema waliingizwa tu na Kundi moja la CCM kutokea kule Bukoba, kwa sasa CCM wameshawekana Sawa hawaihitaji tena Chadema
Ni bora Chadema wakaendelea na mikutano yao ya Maridhiano kanda ya Kusini na wawaache akina Dr Slaa na mambo yao ya Sauti ya Watanzania wasiwavuruge kama walivyoisambaratisha UKAWA huku mzee Emmanuel Makaidi wa Masasi akifa na Mtatiro akiporwa jimbo la Segerea