CHADEMA na wengine chukueni somo kwa CCM. Japokuwa mkutano umedoda lakini kwa kujipaga wamewapiga gape vibaya sana

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,553
4,377
Wakuu,

Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh:
Lakini pamoja na yote hayo, kwenye kujipanga na kuhakikisha jambo lao linakuwa super wako vizuri sanaaaa. Yaani huwa hawana shoo ndogo.

Sasa tukika kwa wenzangu na mimi hata steji anayosimamia Lissu mnazingua kweli? Hata kama mko ma resource ndogo mmezidi. Mobilisation 0, kuplani -0, yaani mnajiendea endea tu utafikiri hamna kichwa.

Chukueni somo kwa wenzenu na muangalie kwa resource hizo hizo mlizonazo fanyeni kitu kizuri. Watanzania wakiona mna muelekeo hawataacha kusapoti, sasa hivi wanaona bora CCM sababu wenyewe hamjielewi.

Lissu kawachana ukweli, mnatakiwa kurudi nyuma mjipange na kwenda kama watu wanaojielewa kichwani.

Mje na mapovu makali ya kutoa madoa maana nilimwagia nguo juisi:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:
 
TEna wana humam resource ya kibabe sana hawa CCM.
Naona wanabeba vibabu vyote...hajabaki mtu nyumbani 😃😃
 
Wakuu,

Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh:
Lakini pamoja na yote hayo, kwenye kujipanga na kuhakikisha jambo lao linakuwa super wako vizuri sanaaaa. Yaani huwa hawana shoo ndogo.

Sasa tukika kwa wenzangu na mimi hata steji anayosimamia Lissu mnazingua kweli? Hata kama mko ma resource ndogo mmezidi. Mobilisation 0, kuplani -0, yaani mnajiendea endea tu utafikiri hamna kichwa.

Chukueni somo kwa wenzenu na muangalie kwa resource hizo hizo mlizonazo fanyeni kitu kizuri. Watanzania wakiona mna muelekeo hawataacha kusapoti, sasa hivi wanaona bora CCM sababu wenyewe hamjielewi.

Lissu kawachana ukweli, mnatakiwa kurudi nyuma mjipange na kwenda kama watu wanaojielewa kichwani.

Mje na mapovu makali ya kutoa madoa maana nilimwagia nguo juisi:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:
Chedema kiburi mingi lakini hawana lolote la maana wanalojua na hawawezi kujifunza chochote hata uwafundishe nini 🐒
 
Wakuu,

Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh:
Lakini pamoja na yote hayo, kwenye kujipanga na kuhakikisha jambo lao linakuwa super wako vizuri sanaaaa. Yaani huwa hawana shoo ndogo.

Sasa tukika kwa wenzangu na mimi hata steji anayosimamia Lissu mnazingua kweli? Hata kama mko ma resource ndogo mmezidi. Mobilisation 0, kuplani -0, yaani mnajiendea endea tu utafikiri hamna kichwa.

Chukueni somo kwa wenzenu na muangalie kwa resource hizo hizo mlizonazo fanyeni kitu kizuri. Watanzania wakiona mna muelekeo hawataacha kusapoti, sasa hivi wanaona bora CCM sababu wenyewe hamjielewi.

Lissu kawachana ukweli, mnatakiwa kurudi nyuma mjipange na kwenda kama watu wanaojielewa kichwani.

Mje na mapovu makali ya kutoa madoa maana nilimwagia nguo juisi:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:
Pesa inaongea. Ndio walioshika nchi sasa unataka wazidiwe na nani tena. Yaani unafananisha CCM na wale wahuni wanaopigana hadharani.
 
Back
Top Bottom