Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,917
Amekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki.
Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM.
Lakini hii ya kushindwa uchaguzi kisha anahamia CCM imeonesha anapenda vyeo. Wakati anagombea hakuona hayo anayoyasema sasa mtaani? Amepoteza mvuto hata CCM wenye akili wameshamwona kuwa hana mvuto wamepata hasara tu.
Imesikitisha sana. Na inaudhi akina Mbowe hawamjibu wamenyamaza tu anabishana na madogo tu ambao hawana impact. CCM wanasema hana issue, amejawa tu na hasira. Na ameanza kulalamika kuwa pesa alizopewa ni ndogo. Wakati CCM wanaona wamempa nyingi kuliko anavyostahili.
Baada ya mwezi atakuwa anashinda corridor za Lumumba na Lucas Mwamshamba wanatafuta machawa wa kuwa sponsor. Wanasema kwa sasa Msigwa hata kwa rais hana thamani. Labda akawe chawa wa Kafulila au Nape.