Chadema na CCM ndiyo vyama vikubwa Tanzania kwa sasa. Hivi vingine vidogo ni bora vikachagua upande wa kuingia kati ya hivi vikubwa

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,356
16,384
Sio kwamba navidharau hivi vyama vingine ila wasipojitathimini, wakaamua kujiunga na moja wapo wa hivyo vyama viwili vikubwa.

Tanzania kwa sasa, wataishia kuzunguka hapo hapo mambo yajayo kisiasa yanaonyesha hivi ndio vyama vitakavyokuwa vikipokezana utawala katika taifa hili la Tanzania.

Kwa hiyo niviombe vyama hivi vidogo dogo Tanzania kwa sasa vifanye machaguo wapi na kwa nini ili vijiunge na moja wapo wa vyama hivi vikubwa Tanzania kwa sasa Chadema na CCM.
 
Back
Top Bottom