Siku chache baada ya Mh Mbowe kusema bungeni kuwa kama Lowasa anahusika na kashfa yoyote basi na aunganishe katika mashtaka,, Lowasa kaibuka na kujitangaza kwa mara ya tatu sasa kuwa ATAINGIA IKULU mwaka 2020,
Swali ni je Ni kikao kipi kilimpitisha lowasa kuwa mgombea mwaka 2020??
je huu si ule usaliti wa kujipatia madaraka tulioutumia kumtumbua zitto??
Mbona anavunja katiba na kanuni zake waziwazi??
Ushauri wa bure kwa viongozi wangu, TUMTUMBUE LOWASA kabla hajatuharibia chama, kaanza kutengeneza makundi yasiyo na tija, na kununua vijana wenye njaa kama Salum Mwalimu
tafadhari atumbuliwe bila kuangaliwa usoni, mithiri ya KITWANGA