CHADEMA mnapendekeza adhabu gani kwa mtu ambae ni msaliti wa Nchi ?

Error 404

JF-Expert Member
Jun 21, 2022
1,950
3,163
Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo .

CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
 
Jibu rahisi kwa swali rahisi/la kijinga. Kila nchi ina katiba na sheria zake. Kwa hiyo namna pekee ya kudeal na makosa ya namna hiyo au yoyote ni kufuata katiba, sheria , kanuni za nchi husika. mimi wala sio CDM.
 
Nchi inaongozwa kwa mujibu wa Katiba, sheria na kanunui.
Kwanza tujue kwenye sheria zetu na kanuni hawa watu ambao ni wasaliti wanaangukia karika sheria ipi.
Adhabu yao ni ipi.
Kusema chadema ipendekeze utaratibu kuhusu wasaliti inaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo huna akili na umekurupuka...
Nyuzi nyingine sio lazima mlete huku. Pelekeni facebuku kwa wajinga wenzio. Kunguru wewe.
 
Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo .
CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
Kwani sheria za nchi zinasemaje? Maana kila mtu akiambiwa anapendekezaje, mimi ningesema apongezwe
 
Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo .

CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
Usaliti huwa unadhibitishwa mahakamani kwanza. Then adhabu kali hufuatia lakini adhabu hizo hazitoki nje ya sheria za jmt

Kwa hiyo chadema hawana usemi kwanye sheria za nchi
 
Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo .

CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
Debe tupu akili hamna hapa
 
KIBONGOBONGO Itategemea na Msaliti huyo yuko chama gani🤣 na amefanya usaliti dhidi ya nani.
 
Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo .

CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu

Ukimaanisha wachuuza bandari?
 
Back
Top Bottom