CHADEMA mmeshindwa kulipia kodi za mapango yenu, nchi mngeongozaje?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,914
30,972
Kashfa zinazoendelea KWA baadhi ya ofisi za chadema kutolipia mapango NA baadhi ya madiwani kutaka kukimbia nyumba zao KWA kushindwa kulipa Kodi inafanya watanzania sasa waanze kujiuliza kama Kodishida hivi

Nchi mngeongozaje sI ingebidi muanze biashara Kyle bandarini NA tRa kupata za kulipia MAPANGO

KUNA MADENI YA MAPANGO HUKO KAWE NA HIVI MAJUZI NIMEKUWA NA NDUGUYANGU MMOJA ANANIELEZA KUNA OFISI ZA PANDE ZA UBUNGO NA KMR NAZO AZIJALIPIWA WAMEKIMBIA SI HILO

HATA MADIWANI BAADHI NYUMBA WANAZOISHI WENGINE WANAKESI SERIKALI ZA MITAA AWAJALIPIA MADENI YAO NA SASA MWEZI WA NNE WANAKAA BURE

HIZI N KASHFA ZINAFANYA WANANCHI WANZE KUKOSA IMANI KABISA NA CHAMA

HON MBOWE EMBU FWATILIA HILI KUONDOA AIBU
 
Wewe unafikiri CCM wanaongoza nchi kwa pesa zao? Nchi inaendeshwa kutokana na kodi kutoka kwa wanachi wake na vyazo mbali mbali kama utalii, viwanda na misaada ya wahisani. CCM pamoja na kumiliki vyanzo vingi vya mapato kama viwanja vya mipira, majumba, nk walivyovipata enzi za chama kimoja kupitia michango ya wananchi wote, bado huwa wanakuwa na matatizo ya mishahara sembuse CDM? Kila chama kina matatizo yake sawa tu na familia kama yako. Inaelekea pia huelewi maana ya kashfa.
 
Tulimumuhizo kodi smngepeleka kwenye mapango
 
We una mtindio wa ubongo. Nani amekuambia kuwa Nchi inaongozwa na fedha za chama?
 
Tulimumuhizo kodi smngepeleka kwenye mapango
Ningekuona wa maana kama ungeuliza vitega uchumi vyote vya umma ambavyo ccm imejibinafsisha na kuvimiliki kama majengo na viwanja vya mpira pesa zake zinakwenda wapi? SUKITA iko wapi? mradi wa school bus upo wapi?

@Pdiddy kwa hakika ubongo wako unahitaji kufanyiwa overhaul, umeshachoka na kuexpire na umepoteza kabisa hata uwezo wa kufikiri.

Yawezekana wewe mwenzetu mpaka sasa hujui siri iliyojificha ni kwa nini ccm hawataki kuachia umeya wa jiji pamoja na kuzidiwa namba na UKAWA.

Pole sana, sijutii tena kuikosa JF siku hizi, humu umejaa upuuzi mtupu hata wale watu mliokuwa wa maana sasa mmeambukizwa ujinga. kwaherini ya kuonana. Pyeeeeeeeeeeee

R.I.P JF sisi tulikupenda ila wapumbavu wamekupenda zaidi, wengi wape ndio demokrasia hata kama wengi ni wajinga.
 

Usipende kujianika ili watu wakuone unakilo ngapi za ujinga!
Unataka kusema hujawahi kusikia serikali ya chama tawala Ina daiwa?
Unapaswa uelewe kulipa pango la maofisi si kigezo cha uwezo wa kutawala nchi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…