Chadema Mkutano mkuu wa Bawacha walifanyia Moshi kwa sababu Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi Lakini Maandamano ni Mbeya, Mwanza na Arusha!

Unaweza usiione pweinti hapo Lakini mjue kuna Baadhi ya Viongozi hupendelea kupeleka Fursa Kwao na Changamoto kuwapelekea Wengine
Kwanza chadema hawawezi kubadilika, kwa hiyo uwezekano wa kuongoza nchi ondoa kabisa.
Pili, kama mchuma janga hula na wa kwao, kwa nini mchuma pesa asile na wa kwao?
 
Unaweza usiione pweinti hapo Lakini mjue kuna Baadhi ya Viongozi hupendelea kupeleka Fursa Kwao na Changamoto kuwapelekea Wengine

Chadema badilikeni kama kweli mnatamani kukamata au kuongoza nchi

Nawatakieni Nyote Sabato Njema 😄
Hakuna hata siku moja maandamano yatafanyika Moshi.Wachaga tuache biashara zetu tukimbilie barabarani?Haitakaa itokee.Lini umesikia vurugu Moshi tokea kuanzishwa wa Vyama vingi 1992.
 
Unaweza usiione pweinti hapo Lakini mjue kuna Baadhi ya Viongozi hupendelea kupeleka Fursa Kwao na Changamoto kuwapelekea Wengine

Chadema badilikeni kama kweli mnatamani kukamata au kuongoza nchi

Nawatakieni Nyote Sabato Njema 😄
Huu uzi unanuka sentiments za ubaguzi. Hilo jina la John hulitendei haki.
 
Arusha sawa ila Moshi haijawahi kuwa na maandamano abadani na haitakuja kuwa na maandamano
Maandamano ni mwanza dar na mbeya
 
  • Thanks
Reactions: Tui
..hii ni hoja mufilisi.

..Baraza Kuu liliketi Dsm.

..Mkutano wa Wazee ulifanyika Znz.

..Mkutano wa Vijana ulifanyika Mwanza.

..Mkutano wa kina Mama ulifanyika Moshi.

..Maandamano Dsm, Mwanza, Arusha, na Mbeya.

..mpaka hapo sioni mantiki ya malalamiko ya mtoa hoja kuhusu maandamano ya Cdm.
 
Hoja ipo. Kwanini mwenyekiti wa ccm alialikwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa chadema? Hivi ni vyama rafiki?
 
Hoja ipo. Kwanini mwenyekiti wa ccm alialikwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa chadema? Hivi ni vyama rafiki?

..mtoa mada analalamika kuwa maeneo mengine ya Tz yametengwa na Cdm kwasababu walipeleka mkutano wa Bawacha Moshi. Mimi nadhani hana hoja kwasababu ya mikutano ya mabaraza ya Cdm imefanyika maeneo mbalimbali ikiwemo Znz, Mwanza, Dsm, nk.
 
Back
Top Bottom