CHADEMA mkikutana Kamati Kuu, jadilini njia mbadala ya kupambana na CCM. Dhulma ifike mwisho

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
3,986
9,320
Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa.

Dawa ya moto ni moto, na dawa ya figisu ni figisu. Wenyewe husema "ubaya hujibiwa kwa ubaya".

Ili majogoo yaheshimiane ni lazima yachapane kwanza.
 
Kwahili nadnani CDM wapo weak sana

Baada ya wiki mbil utawaona wanakumbatiana na kusema siasa si uadui 🤣🤣🙌,
 
Labda Mbowe asiingie kwenye hicho kikao, ama arudishe kwanza hela alizopewa na ccm.
 
Kingine wasuse kabisa issue za "siasa sio uadui"
Huu ujinga unafanya muendelezo wa mambo yasiyoelezeka dhidi ya wafuasi, wanachama na wapenz wa chama hicho..

Kucheka cheka na watu wanao watesa watu wako sio sawa hata kidogo
 
Kwahili nadnani CDM wapo weak sana

Baada ya wiki mbil utawaona wanakumbatiana na kusema siasa si uadui 🤣🤣🙌,
Na huo udhaifu wa chadema kulaghaiwa kwa peremende za maridhiano ndiyo unaoua nguvu ya wananchi kuyapigania mabadiliko.

Hawa ccm wanataka nadharia ya jino kwa jino ifanye kazi ndipo watakuwa na adabu
 
Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa.

Dawa ya moto ni moto, na dawa ya figisu ni figisu. Wenyewe husema "ubaya hujibiwa kwa ubaya".

Ili majogoo yaheshimiane ni lazima yachapane kwanza.
Ingeweza tatizo CCM inatumia Polisi yenye bunduki ila wangeacha vipambane vyama vyenyewe nakuhakikishia kuna maeneo hawa wasimamizi wangechinjwa hadharani.

Ila kwenye rafu CHADEMA kweli haijatumia kama wao wanatumia wanafunzi na sisi tungenunua wanafunzi. Ikiwezekana hata itengwe mabilioni tuhonge wasimamizi uchaguzi ujao, mawakala wa CCM pia tuwahonge na wengine tuteke hata watoto wao ili watangaze upinzani.

Demokrasia haifanyi kazi Tanzania ni wakati tubadilike tutumie dark arts.
 
Jukumu hilo ni la wananchi wote, wasiachiwe chadema peke yao.
 
Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa.

Dawa ya moto ni moto, na dawa ya figisu ni figisu. Wenyewe husema "ubaya hujibiwa kwa ubaya".

Ili majogoo yaheshimiane ni lazima yachapane kwanza.
Usiwe na haraka ya namna hiyo.
Kwanza unarukia ngazi ya mbali kabisa, badala ya kuanza na ngazi za mwanzo?
Watafikaje huko juu, wakati huku chini hawajapita?

Usifikiri hayo unayo yasema ni kazi rahisi rahisi tu, inayo weza kufanywa na mpuuzi yeyote.
 
Ingeweza tatizo CCM inatumia Polisi yenye bunduki ila wangeacha vipambane vyama vyenyewe nakuhakikishia kuna maeneo hawa wasimamizi wangechinjwa hadharani.

Ila kwenye rafu CHADEMA kweli haijatumia kama wao wanatumia wanafunzi na sisi tungenunua wanafunzi. Ikiwezekana hata itengwe mabilioni tuhonge wasimamizi uchaguzi ujao, mawakala wa CCM pia tuwahonge na wengine tuteke hata watoto wao ili watangaze upinzani.

Demokrasia haifanyi kazi Tanzania ni wakati tubadilike tutumie dark arts.
Sija kusoma muda mrefu kidogo, kiasi nilianza kuwa na wasiwasi.

Mliopo huko ndani ya chama; hasa nyinyi mnao pitia sehemu mbalimbali mitandaoni, na hasa humu JF; kisaidieni chama na viongozi wenu kukusanya mengi yanayo elezwa sehemu hizi na kuyawasilisha kwa viongozi wenu ili wayachuje na yanayo faa chama kiyafanyie kazi.

Kwa mfano: Mikutano wanayo fanya viongozi sehemu mbalimbali inaonyesha kila mahali "nyomi" za kutisha yeyote; hata huyo CCM. Jiulizeni, hizi nyomi kwa nini zinaishia kwenye mikutano hiyo?
Kuna kitu gani kinahitajika kufanyika hizi nyomi ziwatishe kweli kweli CCM wakati zinapo hitajika kufanya hivyo.
Natumaini utanielewa ninapo lenga; na huo ni mfano mmoja tu wa ushauri tunao tamani chama na viongozi wake waufanyie kazi haraka kabla ya 2025.
 
Na huo udhaifu wa chadema kulaghaiwa kwa peremende za maridhiano ndiyo unaoua nguvu ya wananchi kuyapigania mabadiliko.

Hawa ccm wanataka nadharia ya jino kwa jino ifanye kazi ndipo watakuwa na adabu
Bahati mbaya tu ni kwamba, hao hao CCM wanayo nafasi ya kuitumia mitutu ya bunduki za waTanzania dhidi ya viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wafuasi wao na pasiwepo wa kuwahoji., siyo wananchi wala nani! Hili ina
Na hapa ndipo inapo niwia vigumu sana kumlaumu kiongozi kama Mbowe. Ndiyo, kuna mambo anastahili lawama moja kwa moja; lakini ni nani asiye kumbuka mikasa mingi iliyo mkabili yeye kama kiongozi wa chama na bila wafuasi kuonyesha kuwa naye katika wakati huo mgumu. Chukulia ule mkasa wa Kinondoni na kuuliwa kwa yule binti Aquilina, na polisi kujigamba jinsi Mbowe na wenzake walivyo kwenda kujificha ofisini kwa CCM. Ile kesi ya ugaidi, hata kama ingekuwa ni uigizaji, ni mwigizaji gani huyo anaye penda kupitishwa kwenye hali ya aina ile, miezi kadhaa ukiwa huna uhuru wowote?
Wapenzi na wana chama wa chama hiki hawakuguswa na hali iliyo kuwa ikimkabili kiongozi wao?

Sitagusia yanayo mharibia Mbowe katika historia ya uongozi wake ndani ya chama hicho. Bila shaka na yeye atakuwa amepata muda wa kuyajutia sasa hivi.

Ni wakati wa CHADEMA kurudi kwa wananchi; hakuna njia yoyote nje ya kufanya kazi kwa karibu sana na wananchi; hasa kuanzia kwa wana chama wao. Hapa kuna udhaifu mkubwa sana toka kwa viongozi wa CHADEMA.
 
Kazi number moja kubwa ya chama cha siasa ni kuelimisha raia kuhusu haki zao kwenye nchi.

Wakishapata hiyo elimu ikawaingia kichwani, mengine ni yote hayashindikani.

CDM aina wanasiasa bado.
 
Ingeweza tatizo CCM inatumia Polisi yenye bunduki ila wangeacha vipambane vyama vyenyewe nakuhakikishia kuna maeneo hawa wasimamizi wangechinjwa hadharani.

Ila kwenye rafu CHADEMA kweli haijatumia kama wao wanatumia wanafunzi na sisi tungenunua wanafunzi. Ikiwezekana hata itengwe mabilioni tuhonge wasimamizi uchaguzi ujao, mawakala wa CCM pia tuwahonge na wengine tuteke hata watoto wao ili watangaze upinzani.

Demokrasia haifanyi kazi Tanzania ni wakati tubadilike tutumie dark arts.
Kwel mkuu hapa umenena chadema wanastahili kubadilika ile jino kwa jino au ukiweka mguu naweka nondo hakika wangetoboa ila sasa mikakat yao na mipango yao bodo ni ya kizaman na ya kutegemea huruma sijui ata ya nani agh!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom