Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 20,746
- 22,576
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa?
Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na uelekeo wenu kisiasa? Taasisi kubwa kama chadema? No, hamuwezi kutoboa kabisa, never ever.
My friends,
Ni kujipanga tu. Hii ya kutegemea hisia, mihemko au huruma za wanainchi na ushabiki wa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, haiwezi kuleta matokeo chanya kwa hapa Tz, lakini pia hali ya ground huku waliko wananchi ni tofauti mno na ilivyo kwenye social medias, ambazo chadema mmepumbazwa nazo mara zote, mkajisahau huko na hamjifunzi tu
Kuna utofauti na upotofu mkubwa sana baina ya ground na kwenye social medias. Go back to your drawing tables. Mkajipange vizuri, vinginevyo, hiki kilichofeli pakubwa leo kitajiridia tu tena.
Soma Pia: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Dunia na ulimwengu mzima umeshuhudia na kutambua kwamba, Tanzania kuhusu issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi wake, ina totally zero tolerence.
Tanzania iko tayari kutumia nguvu na gharama yoyote ile, tena bila kumuonea huruma, aibu wala haya mtu au nchi yoyote itakayojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania kwa ujumla 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.