Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,782
- 239,460
Uchaguzi unaotambulika duniani ni ule wa octoba 25 , ule mwingine uliohusisha AK - 47 na Manowari za kivita hautambuliki .Waanike na suala la uchaguzi zanzibar pamoja na bunge live
Huo wa AK-47 ndiyo tunataka kujua usanii uliofanyika mpaka jamaa akapata kura zaidi 299, 000Uchaguzi unaotambulika duniani ni ule wa octoba 25 , ule mwingine uliohusisha AK - 47 na Manowari za kivita hautambuliki .
HASHITUI WALA HAIVUTII-- BILA SLAA MMMMMChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.
Chanzo - Mwananchi .
WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .
Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
To be Honest...CHADEMA ishatuchoshaChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.
Chanzo - Mwananchi .
WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .
Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
Kwa mfano kuhusu upungufu wa sukari ni wapi CHADEMA wamekudanganya ?Wastage of resources eti waanike ukweli kuhusu sukari sijui uchaguzi oooh bunge poor people. badilisheni strategy zile zama za kudanganya wabongo zishapitwa na wakati
Siasa ni uhai , na njia pekee ya kuachana na uhai ni kifo , je uko tayari kujinyonga ?To be Honest...CHADEMA ishatuchosha
Kuna uzi humuhumu jf ulithibitisha waliojitokeza kupiga kura march 20 ni 58, 750 unguja na pemba , hiyo 299,000 ilitoka mfukoni mwa MTUKUFU SALIM JECHA .Huo wa AK-47 ndiyo tunataka kujua usanii uliofanyika mpaka jamaa akapata kura zaidi 299, 000