Tanzania inatakiwa ijitayarishe kushirikiana na Rais yeyote wa Kenya ambae atakuwa chaguo la Wakenya wenyewe. Inanishangaza Chadema kuchagua Nani awe Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Hivi ikitokea Laila akishinda na Lowassa nae akishinda uchaguzi itakuwaje?
Nani kakwambia Chadema imechagua nani awe Rais wa Kenya????Mbona unakurupuka hata hujui unachoandika?Utaratibu wa kumuunga mkono mgombea fulani ni wa kawaida duniani!Uchaguzi unapokwisha,hayo yanaishia hapo!Tanzania inatakiwa ijitayarishe kushirikiana na Rais yeyote wa Kenya ambae atakuwa chaguo la Wakenya wenyewe. Inanishangaza Chadema kuchagua Nani awe Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Hivi ikitokea Laila akishinda na Lowassa nae akishinda uchaguzi itakuwaje?
Tanzania inatakiwa ijitayarishe kushirikiana na Rais yeyote wa Kenya ambae atakuwa chaguo la Wakenya wenyewe. Inanishangaza Chadema kuchagua Nani awe Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Hivi ikitokea Laila akishinda na Lowassa nae akishinda uchaguzi itakuwaje?
Sio kawaida, mbona hapa uchaguzi umekwisha lakini bifu azijakwisha?Nani kakwambia Chadema imechagua nani awe Rais wa Kenya????Mbona unakurupuka hata hujui unachoandika?Utaratibu wa kumuunga mkono mgombea fulani ni wa kawaida duniani!Uchaguzi unapokwisha,hayo yanaishia hapo!
Hatakaa awe Rais mpaka Yesu arudiNani kasema kuna siku raila atachukua nchi awe rais wa Kenya!!? Hilo akae na asahau ila aendele kusindikiza
Rais yupi huku UHURUTO wanasubiri kuapishwa kwa muhula wa piliTanzania inatakiwa ijitayarishe kushirikiana na Rais yeyote wa Kenya ambae atakuwa chaguo la Wakenya wenyewe. Inanishangaza Chadema kuchagua Nani awe Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Hivi ikitokea Laila akishinda na Lowassa nae akishinda uchaguzi itakuwaje?
Bifu gani?Sio kawaida, mbona hapa uchaguzi umekwisha lakini bifu azijakwisha?
Tanzania inatakiwa ijitayarishe kushirikiana na Rais yeyote wa Kenya ambae atakuwa chaguo la Wakenya wenyewe. Inanishangaza Chadema kuchagua Nani awe Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Hivi ikitokea Raila akishinda na Lowassa nae akishinda uchaguzi itakuwaje?
Labda hawasalimianikwani ambavyo Raila aliyeungwa mkono na Magufuli alivyoshindwa na Uhuru akashinda imekuaje???