CHADEMA, Kama hauwezi control the "Mob" (Wafuasi) Badi control narrative "mitazamo

P J O

Senior Member
May 3, 2024
157
221
Kwenye Siasa ya dunia ya Leo mbinu zakivita za kukufikisha ikulu ni muhimu. Tumeshuhudia ulimwenguni kumekua na ushindi Kwa vyama vya Conservative vikiingia madarakani wakatiiqmbapo vyama tawqla havikuwahi kutarajia.

Kama CHADEMA Unataka kuingia madarakani inapaswa zingatia haya matatu.

1. Control the Media
Whoever controls the media controls the narrative. Either kupitia endorsement ya wamiliki wakubwa wa media au kulipia vipindi vya midahalo na contents mbali mbali za chama. Kupitia media wataweza kuja na mitazamo ya tofauti na CCM kutengeneza taswira tofauti ya itikadi zao tofauti na chama tawala. Kwa sasa hamna jipya zaidi ya kuongelea mambo Yale Yale ya katiba mpya.

2. Inapaswa kua chama Cha watu, watanzania wajiskie ni chama Chao, hasa vijana na hivyo inamaanisha watu wa recruitment wanatakiwa wawepo kila mtaa kuandikisha na kuandaa vikao. Na eanachama wanapaswa kua na tumaini la kua viongozi wajao na si kua kama sasa Kuna mitazamo kua chama ni Cha mbowe. Kuwepo na sura mpya kwenye ngazi zote za uongozi.

3. Kua mstari wa mbele kwenye mambo ya Kijamii
Ikitokea changamoto kwenye jamii wawe wa kwanza kufika eneo la tukio kuoffer help na kusaidia jamii hizi. Ofcourse post picha mtandaoni watu waone kazi zenu nzuri. Kwa sa ukiuliza watanzania Chadema imewafanyia Nini, HAKUNA
 
Back
Top Bottom